• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ikulu ya Marekani yaondoa uwezekano kwa rais Trump kufanya ziara nchini Uingereza hivi karibuni

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:45:19

    Ikulu ya Marekani imekanusha habari kuwa rais Donald Trump atafanya ziara nchini Uingereza hivi karibuni. Gazeti la New York Times lilimnukuu ofisa habari wa ikulu ya Marekani Bi. Sarah Sanders, akisema hakuna mpango kwa rais Trump kufanya ziara nchini Uingereza mwezi huu, na kwamba rais Tump ataanza ziara nchini Ujerumani na kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi la nchi 20 Ijumaa na jumamosi, na pia anatarajiwa kuhudhuria sherehe za Siku ya taifa la Ufaransa mjini Paris Julai 14.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako