• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FKF Ligi ya Wanawake: Thika Queen yaitambia Mombasa Olympic

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:45:26

    Thika Queen bado inaendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu ya soka ya wanawake kanda A baada ya kuwafunga Mombasa Olympic goli 2-1 katika mechi iliyochezwa uwanja wa KPA Mbaraki Sports Club mjini Mombasa.

    Kwingineko mechi nyingine ya kundi A iliyokuwa iwakutanishe wenyeji Spedag na wageni soccer sisters haikuchezwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Ronald Ngala baada ya wageni kukataa kucheza wakidai uwanja hauko katika kiwango cha kuchezewa soka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako