• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mshukiwa anayetuhumiwa kumteka nyara msomi wa China nchini Marekani ashikiliwa

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:45:39

    Jaji wa Marekani Eric Long ameamuru kushikiliwa kwa mshukiwa anayetuhumiwa kumteka nyara msomi wa China bila nafasi ya kupewa dhamana hadi kesi yake itakaposikilizwa tena mahakamani Julai 5. Msemaji wa mwanasheria mkuu wa Marekani amesema kama mshukiwa huyo anayetambuliwa kwa jina la Brendt Christensen, mwenye umri wa miaka 28, akikutwa na hatia, atakabiliwa na adhabu ya kifungo cha maisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako