• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Simbas ya Kenya kutetea taji lao

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:45:49

    Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande (Kenya Simbas) itaanza kampeni ya kutetea taji lao la bara la Afrika divisheni ya kwanza nyumbani dhidi ya Tunisia Julai 8 mwaka huu baada ya kufanikiwa kutwaa kombe la Elgon wiki iliyopita.

    Kikosi cha Kenya kitachuana na Tunisia na baadaye kukabiliana na Zimbabwe na Namibia katika mechi za ugenini. Mshindi wa michuano hiyo atawakilisha bara la Afrika katika michuano ya kombe la dunia la Raga mwaka 2019 nchini Japan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako