• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya waafrika 5,000 wajiunga na makundi ya kigaidi kote duniani

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:46:03

    Taarifa iliyotolewa na waziri mkuu wa Algeria Abdelmadjid Teboune kwenye mkutano wa kilele wa 29 wa Umoja wa Afrika, inasema zaidi ya raia 5,000 wa nchi za Afrika wamejiunga na makundi ya kigaidi kote duniani, haswa nchini Iraq, Syria na kwenye kanda ya sahel barani Afrika. Taarifa hiyo pia inazihimiza nchi za Afrika zifuatilie zaidi kukuza ushirikiano kwenye kazi ya ujasusi kuhusu magaidi wa kigeni, kuboresha mbinu za kuwatambua, na kuwazuia kwa njia ya kuimarisha udhibiti wa njia za usafiri na mipaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako