• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Licha ya majeraha, Murray aanza vyema Wimbledon 2017

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:46:08

    Michuano ya mchezo wa Tenisi ya Wimbledon imeanza jana kwa mchezo kati ya bingwa mtetezi wa michuano hiyo Andy Murray aliyekabiliana na Alexandre Bulbik.

    Murray amefanikiwa kuibuka kidedea kwa kushinda seti zote za 6-1, 6-4 na 6-2. Baada ya ushindi huo, Murray sasa anakutana na Dustun Brown raia wa Ujerumani katika raundi ya pili.

    Kwa upande wa wanawake mwanadada Venus William nae alikuwa uwanjani kukabiliana na Mbelgiji Elise Mertenes ambapo Venus aliibuka mshindi kwa seti 7-6, 9-7 na 6-4.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako