• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa Rwanda waandamana kuadhimisha vita ya ukombozi ya 1994

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:46:23

    Mamia ya vijana wa Rwanda walishiriki kwenye maandamano jana mjini Kigali kwa lengo la kuwakumbuka na kutoa heshima kwa watu waliopoteza maisha kwenye vita ya ukombozi ya mwaka 1994. Maandamano hayo ya kilomita mbili kuanzia makao makuu ya bunge hadi uwanja wa michezo wa Amahoro, yaliandaliwa siku moja kabla ya Rwanda kuadhimisha mwaka wa 23 tangu vita hiyo ambayo serikali ya sasa iliingia madarakani baada ya kuipindua serikali ya mauaji ya kimbari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako