• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usajili ligi kuu ya Uingereza – EPL, Terry atua Aston Villa

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:46:29
    Klabu ya Aston Villa imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kati wa timu ya Chelsea, John Terry ambaye atakuwa na klabu hiyo kwa muda wa mwaka mmoja.

    Nayo klabu ya West Ham inajipanga kumrudisha mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Javier Hernandes ambaye kwa sasa anacheza Bayern Leverkusen.

    Wakati Everton inajiandaa kutua nchini Tanzania, mshambuliaji wa kalbu hiyo Romelu Lukaku bado anaiumiza kichwa Chelsea. Na baada ya usajili wa Thomas Lemar kutoka Monaco kwenda Arsenal kuonekana kuwa mgumu sasa kocha Arsene Wenger ahamishia nguvu kwa Riyad Mahrez.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako