• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa mataifa wakaribisha mchango wa "ukanda mmoja, njia moja" kwenye mafungamano ya Afrika

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:52:31

    Umoja wa mataifa umehimiza ushirikiano kati ya pendekezo la "Ukanda moja, njia moja" la China na juhudi za nchi za Afrika kutimiza mafungamano.

    Akiongea kwenye ufunguzi wa mkutano wa kilele wa umoja wa mataifa, naibu katibu mkuu wa Umoja wa huo Bibi Amina Mohamed amesema kuna haja ya kutumia vizuri fursa zinazoletwa na mpango wa "ukanda mmoja, njia moja".

    Pendekezo la "ukanda mmoja, njia moja" lililotolewa mwaka 2013 lina lengo la kuunganisha bara la Asia na Ulaya na Afrika kupitia njia za kale za biashara kwa mtandao wa miundombinu.

    Bibi Mohamed amesema fursa hiyo sio kama tu utasaidia kuleta amani barani Afrika, bali pia itasaidia kulinda raslimali za bara la Afrika, na kulijenga bara hilo kwa ajili ya siku zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako