• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Moto watokea kwenye soko la mitumba nchini Zambia

    (GMT+08:00) 2017-07-04 18:31:38

    Moto umezuka katika soko kuu la mitumba la City Market lililoko eneo la magharibi katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka, na kuharibu mamia ya maduka .

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini humo Esther Mwaata-Katongo amethibitisha kutokea kwa moto huo, na kusema polisi itatoa taarifa kamili kuhusu chanzo na hasara iliyosababishwa na moto huo.

    Inaaminika kuwa moto huo ulianza leo alfajiri, na hakuna taarifa zozote za vifo au majeruhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako