• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FAO yatangaza nchi 19 kuwa nchi zinazokosa vyakula kwa muda mrefu

    (GMT+08:00) 2017-07-04 18:42:31

    Mkurugenzi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) Jose Graziano da Silva amesema, shirika hilo limetambua nchi 19 zinazokabiliwa na ukosefu wa chakula kwa muda mrefu.

    Bw. Graziano amesema kuwa, asilimia 60 ya watu wanaokosa chakula wanaishi katika nchi zinazokumbwa na mapambano na mabadiliko ya hali ya hewa, na kwamba nchi hizo 19 zikiwemo Nigeria, Somalia, Sudan Kusini na Yemen pia zinakabiliana na athari ya maafa na mafuriko.

    Amesisitiza kuwa, amani ni jambo muhimu katika kuondoa tishio hilo, na nchi mbalimbali zinapaswa kutekeleza makubaliano husika yaliyopo ili kuondoa kwa haraka baa la njaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako