• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Precision Air yaanzisha tena safari zake Uganda

    (GMT+08:00) 2017-07-04 20:27:15

    Shirika la ndege la Precision Air limeanzisha tena oparesheni zake baada ya kufunga kwa miaka mine.

    Wiki hii safari za ndege za Uganda za kampuni hiyo zilianzishwa rasmi huku abiria wengi wakitumia usafiri wa ndege hizo.

    Lilian Musyoka meneja wa vituo vya ndege hizo amesema sasa shughuli za kawaida za ndege hizo zitarejea hatua ambayo amesema itaondoa kero kwa abiria waliolazimika kutumia njia ndefu ya Nairobi Kigali hadi Daresalaam.

    Ndege gizo zitakuwa na safari nne za moja kwa moja kila kwa wiki kutoka Daresalaam hadi Kampala.

    Maendeleo haya yamezalisha upya ushindani wa kibiashara miongoni mwa kampuni za ndege za Fastjet

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako