• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania:Ujerumani yasema Tanzania inakuwa kwa kasi

    (GMT+08:00) 2017-07-04 20:29:07

    Balozi mdogo wa Ujerumani nchini Tanzania, John Reyes amesema Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayokua kwa kasi kiuchumi katika Bara la Afrika hivyo kuvutia wawekezaji wengi kutokana na mazingira mazuri ya biashara.

    Akizungumza na waaandishi wa habari amepongeza kampuni zinazotangaza bidhaa za Ujerumani.

    Alibainisha kuwa watanzania katika uwekezaji katika vyombo vya usafiri vinavyodumu na kustahimili mazingira magumu.

    Tanzania ni nchi iliyotajwa kukuwa kwa kasi mwaka 2016 kutokana na harakati za kukabiliana na ufisadi.

    Balozi huyo amesema kuna fursa nyingi za uwekezaji na ndiyo maana bidhaa kutoka Ujerumani zimekuwa zikiongezeka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako