• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Magufuli azipuuza NGO zinazotaka wanafunzi waliozaa warejee shuleni

    (GMT+08:00) 2017-07-05 08:55:19

    Rais John Magufuli wa Tanzania amepuuza mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotaka wanafunzi waliozaa warejee shuleni, na kusema hatabadilisha msimamo. Akiongea kwenye ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa, rais Magufuli amesema hataitikia mwito wa mashirika hayo na kuonya kuwa atawafukuza wakuu wa shule wanaoruhusu wasichana waliozaa kurudi shuleni. Pia amesisitiza kuwa lengo la hatua hiyo sio kuwazuia watu kupata elimu, bali ni kuimarisha maadili ya umma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako