• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Misri lapitisha uamuzi wa kurefusha hali ya dharura kwa miezi mitatu zaidi

    (GMT+08:00) 2017-07-05 08:55:56

    Bunge la Misri limepitisha uamuzi wa kurefusha hali ya hatari inayotekelezwa kote nchini humo kuanzia Aprili 11 kwa miezi mitatu zaidi kutokana na tishio la kigaidi, baada ya mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa Aprili 9 na kundi la IS dhidi ya makanisa kaskazini mwa nchi hiyo na kusabibisha vifo vya watu 45.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako