• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa falme za kiarabu wasema haujapata jibu rasmi kutoka kwa Qatar

    (GMT+08:00) 2017-07-05 08:56:17

    Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ya Umoja wa falme za kiarabu imesema haijapata jibu rasmi kutoka kwa Qatar kuhusu matakwa yaliyotolewa na nchi nne ya kutatua mgogoro wa kidiplomasia na Qatar. Wizara hiyo imesema nchi hizo nne ziko tayari kuchukua hatua zijazo kutokana na jibu la Qatar. Nchi hizo nne Saudi Arabia, Umoja wa falme za kiarabu, Bahrain na Misri jumatatu zilitoa taarifa ya pamoja zikiipatia Qatar muda wa saa 48 zaidi kutoa jibu rasmi kuhusu matakwa 13 ziliyotoa, na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo wanatarajiwa kukutana leo mjini Cairo kujadili hatua zijazo dhidi ya Qatar.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako