• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu ya Kenya (KPL) sasa yapata mdhamini mpya.

    (GMT+08:00) 2017-07-05 09:03:41

    Ligi kuu nchini Kenya (KPL) sasa imepata udhamini wa shilingi milioni 100.7 baada ya kuingia ubia na shirika la Radio Afrika kufuatia shirika la Supersport kukatisha matangazo yake ya kandanda mapema msimu huu.

    Kati ya pesa hizo, KPL imepokea shilingi milioni 36.7 ambazo zitatumika kwa kipindi cha miezi 6 huku shilingi milioni 24 zikitumika kwa uzalishaji wa mechi na kununua vifaa vya kupeperushia mashindano hayo.na shilingi milioni 40 zitatumika kwa shughuli za mauzo na matangazo ya ligi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako