• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Putin na Trump kukutana kwa mara ya kwanza

    (GMT+08:00) 2017-07-05 09:29:01

    Msaidizi wa rais wa Russia Bw Ushakov ametangaza kuwa rais Vladmir Putin atakutana na mwenzake wa Marekani Donald Trump kwa mara ya kwanza tarehe 7 mwezi huu.

    Bw Ushakov amesema rais Putin na rais Trump watakutana tarehe 7 kando ya mkutano wa kilele wa nchi za Kundi la G20 utakaofanyika mjini Hamburg, Ujerumani. .

    Habari zinasema viongozi hao watajadiliana masuala ya Syria, Ukraine pamoja na mapambano dhidi ya ugaidi wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako