• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wawili wauawa katika shambulizi la mizinga Mogadishu

    (GMT+08:00) 2017-07-05 09:29:23
    Shambulizi la mizinga lililotokea jana karibu na ikulu ya Somalia mjini Mogadishu limesababisha vifo vya askari wawili.

    Ofisa mmoja wa Somalia amesema siku hiyo moja ya mizinga iliyoanguka kwenye eneo la ikulu ililipuka na kusababisha vifo vya askari wawili.

    Hivi sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kufanya shambulizi hilo. Lakini kundi la Al-Shabaab nchini Somalia hufanya mashambulizi kama hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako