• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kiwango cha Mfumuko wa bei wa mwaka 2016/17 imefunga kwa asilimia 5.7

    (GMT+08:00) 2017-07-05 19:37:29

    Mwaka wa fedha wa 2016/17 imefunga kwa mfumko wa bei wa chini wa asilimia 5.7 ikilinganishwa na asilimia 6.6 ya mwaka wa fedha 2015/16.

    Ofisi ya Takwimu Uganda (Ubos) inasema kupungua huku kunaonyesha kuwa ongezeko la jumla la bei ya bidhaa na huduma ilikuwa chini kuliko mwaka uliopita wa fedha kutokana na mahitaji yaliyopungua.

    Ripoti ya Bei ya Watumiaji (CPI) ya mwezi wa Juni katika Ofisi ya Takwimu juma jana, mkurugenzi wa uchumi, Dr Chris N. Mukiza, amasema: Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Uganda kilibakia chini katika tarakimu moja mwaka wa fedha uliopita kutokana na mahitaji ya chini katika uchumi.

    Kwa kweli, mahitaji ya jumla ni matumizi, kiwango cha matumizi, matumizi ya uwekezaji, matumizi ya serikali na mauzo ya nje.

    Vilevile, mfumuko wa bei wa kila mwaka wa mwisho wa mwaka ulioisha mwezi Juni 2017 ulishuka hadi asilimia 6.4 ikilinganishwa na asilimia 7.2 iliyorekodiwa mwaka ulioishia mwezi

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako