• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahindi katika mtambo wakusiaga kuliko ile iliyopakiwa

    (GMT+08:00) 2017-07-05 19:38:33

    Wakenya wanaonunua mahindi katika mtambo wakusiaga mahindi kwa mara ya kwanza wanalipa zaidi kuliko wale wanaotumia unga uliopakiwa.

    Takwimu kutoka kwa Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya (KNBS) inaonyesha kwamba mnunuzi wa kawaida ananunua pakiti ya kilo mbili ya unga Sh119, juu ya Sh90 ambayo iliyowekwa na serikali chini ya mpango wa ruzuku.

    Lakini wale ambao wanaotegemea unga kutoka kwa maduka ya kusiaga walilipa wastani wa Sh130.54 kwa kilos mbili, ambayo kwa mara ya kwanza unga uliopakiwa bei yake ni nafuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako