• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Iraq lasema ni wapiganaji 300 tu wa kundi la IS waliosalia Mosul

    (GMT+08:00) 2017-07-06 09:27:41

    Jeshi la Iraq limesema kuwa operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul inakaribia kumalizika, wakati ni wapiganaji 300 tu wa kundi la Islamic State waliosalia mjini Mosul, na kuzingirwa na jeshi hilo kwenye eneo dogo lililoko ukingo wa magharibi wa mto Tigris. Jumanne wiki hii ofisa mmoja wa jeshi hilo alisema kuwa mji wa Mosul unatazamiwa kukombolewa leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako