• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO yapongeza mafanikio yaliyopatikana katika kampeni ya afya ya umma nchini China katika miaka 65 iliyopita

    (GMT+08:00) 2017-07-06 09:28:05

    Shirika la afya duniani WHO limetoa tuzo kwa serikali ya China, ili kuadhimisha miaka 65 tangu kampeni ya afya ya umma ya China ianzishwe, na kupongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kampeni hiyo, ambayo wastani wa muda wa kuishi kwa wachina umeongezeka kutoka miaka 35 wakati China mpya ilipoanzishwa hadi miaka 76.3 mwaka 2015, na kiwango cha vifo vya watoto wachanga na wajawazito nchini China, kimeshuka hadi kiwango cha nchi zilizoendelea, na kufikia mapema lengo la maendeleo ya milenia la Umoja wa Mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako