• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vitendo vya utoaji mimba huenda vikahalishwa Kenya

    (GMT+08:00) 2017-07-06 09:49:01

    Utoaji mimba salama huenda ukahalalishwa nchini Kenya, endapo ombi la jaji wa mahakama kuu Njoki Ndung'u litakubaliwa. Imefahakima kuwa licha ya kuwa ni ukiukaji wa sheria, vitendo vya utoaji mimba nchini Kenya bado vinaendelea, na kusababisha hatari kutokana na kufanyika katika mazingira yasiyo salama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako