• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachina nchini Botswana wachangia zaidi ya mabalanketi elfu moja kwa familia maskini za huko

    (GMT+08:00) 2017-07-06 16:37:36

    Mfuko wa hisani wa wachina wanaoishi nchini Botswana jana umechangia mablanketi zaidi ya elfu moja kwa raia wa huko kwa kupitia mfuko wa hisani wa rais wa Botswana, ili kuzisaidia familia maskini nchini humo kukabiliana na majira ya baridi.

    Mkurugenzi wa mfuko wa hisani wa wachina nchini Botswana Bw. Nan Gengxu amesema, tangu mfuko huo uanzishwe mwaka 2012, kila mwaka umeandaa shughuli za hisani ili kutoa misaada halisi kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi za huko.

    Katika miaka mitano iliyopita, mfuko huo umechangia vitu vyenye thamani ya yuan milioni 9.5 kwa watu maskini wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako