• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wasiopungua 77 wafariki katika ajali ya barabarani nchini Afrika ya Kati

    (GMT+08:00) 2017-07-06 17:54:38

    Polisi nchini Afrika ya Kati wamesema, watu wasiopungua 77 wamefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea juzi katikati ya nchi hiyo.

    Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi imesema, lori moja lililobeba abiria na mizigo kutoka Bambari hadi Malum limepinduka.

    Polisi imesema, chanzo cha ajali hiyo ni kubeba mizigo na abiria kupita kiasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako