• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waethiopia elfu 50 warudi nyumbani wakati Saudi Arabia inarefusha kipindi cha msameha

    (GMT+08:00) 2017-07-07 09:41:01

    Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imesema raia elfu 50 wa nchi hiyo wamerudi nyumbani wakati Saudi Arabia yarefusha kipindi cha msameha kwa mwezi mmoja zaidi. Kwa mujibu wa wizara hiyo, waethiopia wengine zaidi ya laki 1.1 wanaoishi kiharamu nchini Saudi Arabia wamepata visa halali za kurudi nyumbani kufuatia Saudi Arabia kuongeza muda kipindi cha msameha kitakachomalizika wiki ijayo. Takwimu zinaonesha kuwa waethiopia wapatao laki nne wanaishi kiharamu nchini Saudi Arabia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako