• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mvuto wa Uingereza kwa uwekezaji wa nje hautapungua baada ya Brexit

    (GMT+08:00) 2017-07-07 09:41:45

    Takwimu zilizotolewa jana na wizara ya biashara ya kimataifa ya Uingereza zinaonesha kuwa katika mwaka wa fedha wa 2016/17 Uingereza imevutia miradi 2,200 ya uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje, hali inayoonesha kuwa mvuto wa Uingereza kwa uwekezaji kutoka nje haujapungua kidhahiri. Waziri wa biashara ya kimataifa wa Uingereza Liam Fox amesema Uingereza itaendelea kutekeleza sera za biashara huria na kodi nafuu, ili kudumisha mvuto kwa mitaji na wataalamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako