• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa waipongeza China kwenye mambo ya kulinda amani

    (GMT+08:00) 2017-07-07 09:59:40

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya kulinda amani Bw Jean-pierre Lacroix ameipongeza China kwa kazi muhimu inayofanya katika mambo ya kulinda amani.

    Bw Lacroix amesema China ni mchangaji mkuu wa pili wa fedha duniani katika mambo ya kulinda amani, pia ni nchi muhimu inayotoa walinzi wengi wa amani, amabao hivi sasa wako kwenye opresheni muhimu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sudan Kusini na Somalia.

    Takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa imeonyesha kuwa idadi ya askari wachina wenye sifa nzuri kwenye opresheni za ulinzi wa amani sasa imefikia 2,512, ambayo imezidi idadi ya walinzi kutoka wajumbe wengine wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako