• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 8 wauawa katika tukio la kukanyagana kwenye sherehe ya uhuru ya Malawi

    (GMT+08:00) 2017-07-07 10:10:00

    Watu wanane wakiwemo watoto tano wameuawa katika tukio la kukanyagana kwenye sherehe ya maadhimisho ya uhuru ya Malawi.

    Msemaji wa polisi wa jimbo la kati, Molliettie Chihana amesema watu 62 wamejeruhiwa, na idadi hiyo huenda ikaongezeka.

    Mashuhuda wamesema tukio hilo lilitokea wakati watu wengi walikuwa wanamiminika kupita kwenye lango la kuingilia kwenye uwanja unaoweza kupokea watu elfu 40. Sherehe hiyo ilipangwa kuhudhuriwa na Rais Peter Mutharika akiwa ni mgeni rasmi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako