• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kisima cha mafuta cha OCTP cha Ghana chaanza uzalishaji

    (GMT+08:00) 2017-07-07 16:18:22

    Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana jana alizindua rasmi vifaa vya uzalishaji kwenye kisima cha mafuta cha OCTP nchini humo.

    Rais Akufo-Ado amesema kuanza uzalishaji kwa kisima hicho kunamaanisha kuwa Ghana imepiga hatua madhubuti kwenye njia ya kutimiza lengo la kuifanya nchi hiyo kuwa kituo cha uzalishaji wa mafuta katika Afrika ya Magharibi. Amesema serikali itatunga mpango wa muda mrefu, kuimarisha usimamizi wa kisima hicho, na kusuma mbele ujenzi wa viwanda na kuhakikisha wananchi wanawanufaka kupitia kisima hicho.

    Kisima cha OCTP kiko kilomita 60 kutoka ufukwe wa magharibi wa nchi hiyo, na ni kisima cha tatu cha kibiashara nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako