• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiwango cha sukari kinachoagizwa kutoka nje chaongezeka Kenya

    (GMT+08:00) 2017-07-07 18:49:40


    Utafiti unaonyeshwa kuwa idadi ya sukari iliyoagizwa kutoka nje kwa muda wa miezi minne iliyopita imeongezeka kwa asilimia 36 ikilinganishwa na wakati kama huo mwaka jana. Ripoti hiyo inakuja wakati ambapo serikali ya Kenya imekuwa ikitoa leseni kupunguza pengo la bidhaa hiyo kote nchini Kenya. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa zaidi ya tani elfu 131 ziliagizwa mwaka huu ikilinganishwa na tani elfu 97 zilizoagizwa. Kenya uagiza sukari kutoka kwenye soko la COMESA na nchi za Afrika mashariki. Kenya uzalishaji jumla ya tani laki 6 za sukari kila mwaka na hutegemea sana sukari kutoka nje kwa ajili ya kuziba pengo linaloshuhudiwa nchini Kenya.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako