• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa hotuba muhimu katika Mkutano wa 12 wa wakuu wa kundi la nchi 20

    (GMT+08:00) 2017-07-08 17:11:41

    Mkutano wa 12 wa wakuu wa kundi la nchi 20 umefanyika jana huko Hamburg, Ujerumani, ambapo rais Xi Jinping wa China ameshiriki na kutoa hotuba ya "kushikilia msimamo wa kufungua mlango wazi, na kuhimiza ongezeko la pamoja".

    Rais Xi akitoa hotuba katika mkutano huo amesema, hivi sasa ingawa uchumi wa dunia umeonesha mwelekeo mzuri wa maendeleo, lakini bado unakabiliana na changamoto mbalimbali, ambapo nchi wanachama wa kundi la nchi 20 wanapaswa kushikilia kufuata mwelekeo wa uchumi wa dunia ulio wazi, kupata maendeleo ya kunufaisha pande zote; kutafuta msukumo mpya wa ongezeko la uchumi duniani, kuendelea kuunganisha sera za uchumi na za jamii; kuweka mkazo katika mawasiliano na ushirikiano katika mafunzo ya elimu, utoaji wa nafasi za ajira na uanzishaji wa biashara, na kukamilisha usimamizi wa uchumi duniani, kuhimiza ongezeko la pamoja na ustawi wa pamoja, ili kujenga jumuiya ya pamoja ya mustakabali wa binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako