• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Kenya akutana na Bw. Chang Wanquan

    (GMT+08:00) 2017-07-08 18:39:43

    Rais Uhuru Kenyatta jana alasiri mjini Nairobi alikutana na mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa ulinzi wa China Bw. Chang Wanquan.

    Rais Kenyatta alimtaka Bw. Chang Wanquan kuwasilisha salamu na matarajio mazuri kwa rais Xi Jinping wa China. Rais Kenyatta alisema kuwa uhusiano kati ya Kenya na China una historia ya muda mrefu, pande hizo mbili zilifanya ushirikiano wa kirafiki katika sekta za siasa, uchumi, utamaduni na jeshi. Kenya inazingatia uhusiano kati yake na China, itaendelea kushikilia sera ya kuwepo kwa China moja tu, kuunga mkono pendekezo la Ukanda moja na Njia moja, inataka kushirikiana na China kuendelea kuzidisha ushirikiano halisi katika sekta mbalimbali na kuwanufaisha watu wa nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako