• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la nchi 20 latoa taarifa ya pamoja kuhusu kuendelea kuimarisha ushirikiano dhidi ya ugaidi

    (GMT+08:00) 2017-07-08 18:56:17

    Viongozi wa kundi la nchi za 20 jana huko Hamburg, Ujerumani wametoa taarifa wakisema nchi wanachama wa G20 wataendelea kuimarisha ushirikiano katika kupambana na ugaidi, ikiwa ni pamoja na kutekeleza ahadi kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi, kuimarisha mawasiliano na upashanaji wa habari kuhusu upelelezi wa mapambano dhidi ya ugaidi, kupambana na utoaji wa misaada ya fedha kwa ugaidi, na kupinga vitendo vya kupambana na ugaidi kwa njia ya mtandao wa Internet.

    Taarifa hiyo imeeleza kuwa, viongozi wa kundi la nchi 20 wanalaani vikali matukio yote ya mapambano ya kigaidi kote duniani, na nchi wanachama wote wa G20 wako pamoja katika kupambana na ugaidi, na kutoa misaada ya fedha katika mapambano dhidi ya ugaidi. Pia wamesisitiza kuwa hatua zote za kupambana na ugaidi zinatakiwa kufuata katiba ya Umoja wa Mataifa na sheria za Kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako