• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa viongozi wa Hamburg wa G20 waunga mkono biashara huria

    (GMT+08:00) 2017-07-09 17:13:07

    Kansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel jana amesema, baada ya mazungumzo ya siku mbili, kundi la G20 linaunga mkono kwa pamoja biashara huria, lakini Marekani kutokana na kujitoa kutoka kwenye Makubaliano ya hali ya hewa ya Paris, pande zilizoshiriki katika mazungumzo hayo hayajafikia maafikiano kuhusu makubaliano hayo yanayolenga kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

    Bibi Merkel amesema, viongozi wa kundi la nchi 20 wanaunga mkono kwa pamoja utandawazi wa dunia, kutoa ahadi za kufungua mlango kwa soko, kupinga hatua za kujilinda kibiashara, na kuamua kuanzisha utaratibu imara wa biashara wa kimataifa, na kuhimiza uwekezaji kati ya nchi mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako