• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zimbabwe mabingwa wa kihistoria COSAFA, waipiga 3-1 Zambia

    (GMT+08:00) 2017-07-10 08:53:19
    Timu ya Taifa ya Zimbabwe imetwaa taji la 5 la rekodi ya kombe la COSAFA baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Zambia katika fainali iliyofanyika jana uwanja wa Royal Bafokeng sports palace mjini Rusternburg Afrika Kusini.

    Zimbabwe pia imekuwa timu bora katika mashindano hayo. Mshindi wa pili ni Zambia na nafasi ya tatu imekamatwa na timu ya taifa ya Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako