• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Azam FC yachezea 4-2 toka kwa Rayon mjini Kigali

    (GMT+08:00) 2017-07-10 08:54:22
    Azam fc imechapwa mabao 4-2 na Rayon sports ya Rwanda katika mechi ya kirafiki kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara, mchezo ulichezwa katika uwanja wa Amahoro mjini Kigali.

    Mabao ya Rayon yalifungwa na Pierre Kwizera, Nshuti Savio, Muhire Kelvin na Shassir Nahimana. Wakati Yahya Mohamed na Mudathir Yahya waliifungia Azam mabao ya kufutia machozi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako