• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Reli mpya ya mwendo kasi inayofuata njia ya hariri ya kale yafunguliwa

    (GMT+08:00) 2017-07-10 09:28:04

    Reli mpya ya mwendo kasi kati ya mji wa Baoji mkoani Shaanxi na mji wa Lanzhou mkoani Gansu imefunguliwa rasmi. Reli hiyo mpya inayounganisha mikoa ya Gansu, Qinghai na Xinjiang ni upanuzi wa reli ya mwendo kasi inayofuata njia ya hariri ya kale, na pia ni sehemu ya juhudi za China kuhimiza muunganiko kwenye Ukanda mmoja na Njia moja, ambako mahitaji ya mawasiliano na uchukuzi yanaendelea kuongezeka wakati mahusiano na ushirikiano wa kikanda vinaimarishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako