• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pakistan yasema idadi ya vifo imefikia watano kwenye shambulizi lililofanywa na India

    (GMT+08:00) 2017-07-10 09:28:41

    Pakistan imesema idadi ya vifo kutokana na shambulizi la mizinga lililofanywa jumamosi na vikosi vya India kwenye eneo la Kashmir imefikia watano, wakiwemo wanawake wawili na mtoto mmoja. Mkurugenzi wa kitengo cha Asia kusini katika wizara ya mambo ya nje ya Pakistan Bw. Mohammad Fasail alimwita naibu kamishna mwandamizi wa India Bw. J. P. Singh na kulilaani jeshi la India kwa kukiuka usitishaji vita kwenye eneo hilo, na kusema shambulizi hilo lililowalenga raia ni kitendo cha kuchukiza kilichokiuka maadili ya kiutu na sheria za kimataifa za haki za binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako