• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Burundi yaendelea kupokea wakimbizi kutoka DRC

    (GMT+08:00) 2017-07-10 09:59:47

    Burundi inaendelea kushuhudia wimbi la wakimbizi kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Mamia ya wakimbizi wamekuwa wanavuka mpaka na kuingia Burundi wakikimbia mapigano yanayotokea katika eneo la mashariki mwa DRC. Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa mataifa UNHCR linakadiria kuwa Burundi imewapa hifadhi raia zaidi ya elfu 58 kutoka DRC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako