• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kuanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani

    (GMT+08:00) 2017-07-10 10:00:22

    Uchunguzi umeanzishwa kubaini kilichosababisha kifo cha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Bw Joseph Nkaissery kilichotokea ghafla jumamosi alfajiri. Kifo hicho kimewashtusha wakenya wengi, kwani Bw Nkaissery alionekana akiwa mwenye afya njema alipohudhuria maombi ya kitaifa katika uwanja wa Uhuru siku moja kabla.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako