• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Sekta binafsi imeandikisha biashara ya chini

    (GMT+08:00) 2017-07-10 20:05:26

    Makampuni ya kibinafsi mwezi uliopita aliandikisha shughuli za kibiashara za chini zaidi.

    Hii imetokana na mazingira magumu ya kufanya biashara kwa sekta binafsi, huku nchi ikiendelea kujianda kwa uchaguzi mkuu mwezi Agosti 8, utafiti umeonyesha.

    Wachambuzi wamesema shughuli za biashara za chini zinapaswa kutarajiwa mwezi Julai na Agosti.

    Mchumi katika benki ya Stanbic amesema Sekta ya kibinafsi inaendelea kupungua kwa kasi kutokana na kutokuwa na uhakika wa kisiasa na kupungua kwa upatikanaji wa mikopo pia imesababisha kushuka kwa mahitaji ya ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako