• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nigeria yatahadharisha kuhusu mashambulizi ya Boko Haram

    (GMT+08:00) 2017-07-11 09:15:14

    Serikali ya Nigeria imewataka makamanda 70 wa jeshi la nchi hiyo wachukue tahadhari wakati wapiganaji wa kundi la Boko haram wanarudi kwenye maficho yao katika sehemu nyingine nchini humo. Mnadhimu mkuu wa jeshi la Nigeria luteni jenerali Tukur Buratai amesema kwa sasa kundi la Boko haram limekosa mwelekeo na kushambulia mashabaha zisizolindwa. Kiongozi huyo pia amewahakikishia wananchi kuwa jeshi limedhamiria kutelekeza jukumu lake na kuwaangamiza magaidi wote waliosalia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako