• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China imekuwa nchi inayozalisha umeme kwa wingi zaidi kwa nishati endelevu duniani

    (GMT+08:00) 2017-07-11 09:15:34

    Ripoti mpya iliyotolewa na kundi la BP inasema mwaka jana uzalishaji wa umeme kwa nishati endelevu kote duniani uliongezeka kwa asilimia 14.1, ambalo ni ongezeko kubwa zaidi katika historia. China imeipiku Marekani na kuwa nchi inayozalisha umeme kwa wingi zaidi kwa kutumia nishati endelevu duniani. Mchumi mkuu wa kundi la BP Bw. Spencer Dale amesema China inaongoza duniani katika matumizi ya nishati endelevu, na mwaka jana China pekee ilichangia asilimia 40 ya ongezeko la matumizi ya nishati endelevu duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako