• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Poroshenko asema Ukraine haina mpango wa kuwasilisha ombi la kujiunga na NATO

    (GMT+08:00) 2017-07-11 09:16:11

    Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amesema nchi yake bado haina mpango wa kuwasilisha ombi la kujiunga na Jumuiya ya kujihami ya nchi za magharibi NATO. Kwenye mkutano wa kamati kati ya Ukraine na NATO uliofanyika jana huko Kiev, rais Poroshenko amesema kipaumbele cha Ukraine kwa sasa ni kuimarisha ushirikiano na NATO kwenye mageuzi ya sekta za ulinzi na usalama, ili kuziboresha na kufikia vigezo vya NATO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako