• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uhamiaji wafanya idadi ya watu katika nchi za Ulaya iongezeke, Luxembourg, Sweden na Malta zaongoza

    (GMT+08:00) 2017-07-11 09:32:20

    Idara ya takwimu ya Ulaya imetoa taarifa inayoonyesha kuwa, hadi kufikia Januari 1 mwaka huu idadi ya watu katika umoja wa Ulaya imeongezeka na kufikia watu milioni 511.8.

    Mwaka 2016 nchi 18 zilishuhudia ongezeko la watu na nchi 10 zilishuhudia kupungua kwa idadi ya watu. Luxembourg ndiyo iliyokuwa na ongezeko kubwa zaidi la watu ambalo lilifikia wastani wa watu 19.8 kati ya 1000, ikifuatiwa na Sweden 14.5 na Malta wastani wa watu 13.8 kati ya 1000. Ongezeko la jumla la idadi ya watu nchini ni watu 5,600 na kufanya idadi ya jumla ya watu nchini humo kuwa watu laki 4.4.

    Kati ya nchi ambazo idadi ya watu wake imepungua, Lithuania inaongoza kwa wastani wa watu 14.2 kati ya watu 1000, Latvia wastani wa watu 9.6 kati ya 1000 na Croatia wastani wa watu 8.7 kati ya 1000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako