• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yaadhimisha siku ya idadi ya watu duniani

    (GMT+08:00) 2017-07-11 10:08:04

    Kenya inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani.

    Mwaka 1989, shirika la mipango ya maendeleo la umoja wa Mataifa lilipendekeza tarehe 11 Julai kila mwaka kuwa siku ya idadi ya watu.

    Siku hii hutumiwa kufahamu idadi ya watu duniani, na takwimu hizo zikitumiwa kupanga mikakati ya ustawi wa watu duniani kote.

    Kenya inaadhimisha siku hiyo, huku idadi ya watu mjini Nairobi ikiendelea kuongezeka. Jiji la Nairobi kwa sasa lina wakazi zaidi ya milioni 3.5.Watu ambao wametoka sehemu mbalimbali za mikoani na vijijini kutafuta fursa, jambo linalochangia kuongezeka kwa watu mijini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako