• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rayon wa Kwizera atajwa Mchezaji wa mwaka 2017

    (GMT+08:00) 2017-07-11 10:10:16
    Kwa mara ya pili mtawalia, nyota wa Rayon Sports Pierrot Kwizera ametajwa kama Mchezaji wa Mwaka katika ligi kuu ya Azam Rwanda. Haya yalitangazwa wakati wa toleo la pili ya sherehe ya tuzo hilo liliofanyika jijini Kigali.

    Mchezaji huyo kutoka Burundi alishinda tuzo hilo baada ya ushindani mkali kutoka mshambuliaji wa Musanze FC, Wai Yeka na mshambuliaji wa timu ya Polisi FC Danny Usengimana.

    Kwizera alipokea tuzo hilo pamoja na milioni moja ya Rwanda kama zawadi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako