• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Gofu Uganda yabanduliwa na Kenya kwenye kombe la Victoria

    (GMT+08:00) 2017-07-11 10:10:35
    Timu ya Gofu ya Uganda ilikubali kichapo kutoka kwa wageni wao kutoka Kenya kwenye mashindano ya Kombe la Victoria jijini Entebbe.

    Kikosi cha Kenya iliimarisha uongozi wake baada ya kujizolea pointi tano katika single ya mwisho pande zote na kurejesha kombe hilo kwa mara ya pili kwa tofauti ya pointi mbili tu.

    Kocha wa Uganda Amos Kamya, nahodha Becca Mwanja na kitengo chake walielezea masikitiko yao kwa kukosa kuzuia Kenya kutwaa kombe hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako